7 views
2 months ago General
Kundi la wabunge wanaopigania ukumbatiaji wa mbinu za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi linahimiza ushirikiano zaidi kati ya sekta za umma na binafsi ili kuharakisha utekelezaji wa mpango wa Kitaifa wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi nchini. Kundi hilo linalojumuisha wabunge na maseneta linasema kuwa nchi hii imesalia nyuma katika utekelezaji wa malengo ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, ikiwa ni pamoja na kuafikia asilimia 100 ya matumizi ya kawi safi ifikapo mwaka wa 2030, pamoja na upanzi wa miti bilioni 15 kufikia mwaka wa 2032. Wycliffe Oketch na ripoti hii kwa kina.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive