11 views
3 months ago General
Wakazi wakijiji cha Rwanganga katika eneo bunge la Kigumo kaunti ya Murang’a wanashinikiza haki kwa msichana wa umri wa miaka 13 anayedaiwa kubakwa na kutiwa mimba. Kulingana na wakazi maafisa walikosa kuchukua hatua kwa wakati ufaao licha ya ripoti zilizowasilishwa mara kwa mara kuhusu masaibu yaliyomkuba msichana huyo. Sasa wanashinikiza kukamatwa kushtakiwa kwa wahusika. Mamake msichana huyo anazuiliwa na polisi ili kuhojiwa huku kukiwa na madai kwamba huenda mpenziwe alihusika katika kitendo hicho cha kumbaka na kumtia mimba msichana huyo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive