208 views
2 weeks ago General
Naibu rais Kithure Kindiki amedai kwamba, eneo la mlima Kenya haliwezi kujiunga na upande wa upinzani, na kwamba linapaswa kusalia upande wa serikali. Akizungumza huko Embu baada ya kukutana na viongozi wa eneo hilo, Kindiki amesema eneo hilo lmefaidi kutokana na miradi ya maendeleo, huku akitoa changamoto kwa upande wa upinzani kuelezea rekodi yao ya maendeleo. Amewahimiza wakazi wa kaunti ya Embu kutopotoshwa na kauli za wanasiasa bali wakadirie utendakazi wa viongozi kwa maendeleo waliyoafikia walipokuwa madarakani. Abdiaziz Hashim ana maelezo zaidi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News