21 views
1 week ago General
Wakazi wa kaunti ya Kisumu sasa wanaitaka tume ya maadili na kupambana na Ufisadi (EACC) kuwachukulia hatua za kisheria maafisa wafisadi ambao wananuia kuwania nyadhifa za kisiasa katika uchaguzi mkuu ujao. Wakizungumza wakati wa kikao cha ushirikishi wa umma kuhusu utaratibu wa kuandaa bajeti ya mwaka wa kifedha wa 2026/27, wakazi hao wameitaka tume hiyo kuchukua hatua madhubuti za kuwazuia watu wafisadi kutwaa nyadhifa za uongozi kuambatana na kipengee cha 6 cha katiba. Achola Simon ana taarifa kamili.v
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive