3 views
1 week ago General
Soko la mifugo la Nginyang’ katika eneo bunge la Tiaty kaunti ya Baringo, limefunguliwa tena kufuatia kurejeshwa kwa usalama baada ya oparesheni ya kutwaa bunduki zilizomilikiwa kiharamu. Serikali ilifunga soko hilo mwanzoni mwa mwaka huu kama sehemu ya mikakati ya kukabiliana na ukosefu wa usalama huku kukiwa na wasiwasi kwamba mbuzi walioibwa walikuwa wanauzwa sokoni humo. Kufungliwa tena kwa soko hilo kumeibua matumaini miongoni mwa wakazi na wafanyabiashara wa mifugo ambao walikuwa wanahangaika kupata riziki.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive