5 views
1 month ago General
Miaka kumi na minane ya maisha yake ilimezwa na kivuli cha pombe na dawa za kulevya. Dkt. Andrew Mwengwa Thuka, mwanafunzi mwerevu aliyepata alama ya A katika mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne aliona ndoto zake za kuwa na maisha bora zikivunjika huku uraibu ukimtoa darasani hadi vituo vya polisi, vituo vya urekebishaji tabia na hospitali za afya ya akili. Wengi walimwona kuwa mtu aliyepoteza mwelekeo na wakakata tamaa naye, lakini leo amevalia koti la udaktari na anatumia simulizi lake la maumivu kuwa ujumbe wa matumaini kwa maelfu ya Wakenya wanaopambana na uraibu kuwa maisha yanaweza kujengwa upya na hakuna mtu anayepaswa kuondolewa matumaini ya kuanza tena.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive