49 views
2 weeks ago General
Afisa wa polisi anayedaiwa kufyatua bunduki kwenye mauaji ya Dkt. Victoria Mutiso amejumuishwa na washukiwa wengine watatu kwenye kesi ya mauaji hayo ambayo imeingia awamu mpya kwenye mahakama kuu ya Milimani jijini Nairobi. Konstebo Elijah Kibelion Kimoi alifikishwa mbele ya jaji Kanyi Kimondo pamoja na Rose Mbithe Mulwa, kwa jina jingine Rose Mbithe Ndetei na wanawe wawili Chris Mulwa na Angela Mulwa. Washukiwa watafanyiwa uchunguzi wa kiakili kabla ya kurejeshwa kortini mwezi ujao ambapo watatakiwa kujibu mashtaka.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive