5 views
3 weeks ago General
Wanafunzi 13 kutoka shule ya upili ya wavulana ya Starehe wamekamilisha safari ya kuendesha baiskeli kwa umbali wa kilomita 1,100 kutoka Busia hadi Mombasa ili kukusanya shilingi milioni 10 za kuwasaidia katika elimu wanafunzi wasiojiweza. Wanafunzi hao waliwasili mjini Mombasa leo na kukamilisha safari hiyo ya siku 14 iliyoandaliwa kwa heshima ya kumuenzi mwanzilishi wa shule hiyo marehemu Dkt. Geoffrey Griffin. Wanafunzi hao wamefanikiwa kukusanya zaidi ya shilingi milioni moja kufikia mwisho wa safari yao.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive