17 views
3 weeks ago General
Elimu ya lugha ya Kichina imeanza kukumbatiwa humu nchini ambapo inachochewa na ongezeko la matumizi ya lugha ya Mandarin shuleni, katika vyuo vikuu na soko la ajira. Katika hatua inayonuiwa kushughulikia mtindo huu, walimu kutoka humu nchini na kote barani Afrika walikongamana kwenye chuo kikuu cha Nairobi kuhudhuria warsha ya mafunzo ya siku mbili inayodhamiriwa kuimarisha viwango vya kufundisha na kuambatanisha elimu ya Kichina na mfumo wa elimu ya umilisi wa taifa hili. Mafunzo hayo pia yalikariri kuimarika kwa umuhimu wa lugha na utamaduni katika kukuza mahusiano kati ya China na Kenya.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive