124 views
3 weeks ago General
Serikali imeahidi kujitolea kwake kushauriana na wananchi kupitia miradi mbalimbali inayonuiwa kuimarisha ushirikishaji wa umma na mashauriano miongoni mwa raia. Akizungumza alipokutana na zaidi ya wazee watawala elfu-1 wa vijijini kutoka kaunti ya Kiambu, waziri wa teknolojia ya habari na mawasiliano na uchumi dijitali William Kabogo alisema rais William Ruto amepea kipaumbele masuala ya kushirikisha umma na mashauriano ya kiraia kupitia mbinu bainifu na jumuishi ili wananchi waweze kushirikishwa kikamilifu katika masuala ya uongozi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive