143 views
3 weeks ago General
Kiongozi wa chama cha DCP Rigathi Gachagua sasa amedai kwamba mashambulizi yaliyotekelezwa kwa magari kadhaa kwenye msafara wake katika eneo la Nakuru Magharibi hapo jana yalipangwa na wanasiasa wawili waliochaguliwa katika kaunti ya Nakuru. Akizungumza baada ya kufungua ofisi ya chama hicho mjini Nakuru, Gachagua alisema washambulizi hao ambao wanadaiwa kutumia shoka na silaha nyingine butu dhidi ya washirika wake walitumwa na wanasiasa hao, huku akidai maafisa wa polisi walishuhudia tukio hilo na kukosa kuchukua hatua.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive