151 views
3 weeks ago General
Balozi wa India nchini Kenya Dr. Adarsh Swaika ameutaja mpango wa ustawishaji wa uchumi wa Kenya wa ruwaza yam waka 2060 kuwa jukwa muhimu kwa nchi hizi mbili kuimarisha zaidi uhusiano wa kiuchumi na kimaendeleo baina yao. Akiongea jijini Nairobi wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 80 ya uhuru wa India, Dr. Adarsh Swaika alisema India inaichukulia Kenya kuwa mshirika wake muhimu barani Afrika , wa kibiashara,uwekezaji, utayarishaji bidhaa na uzalishaji kawi safi miongoni mwa sehemu nyingine ambako nchi hizi mbili zinaweza kushirikiana huku kenya ikijiandaa kwa ruwaza ya maendeleo yam waka 2060.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive