1 views
1 month ago General
Muungano wa vyama vya wahudumu wa afya umeshutumu serikali za kaunti kwa madai ya kukosa kutekeleza makubaliano muhimu ya ajira, ikiwa ni pamoja na utoaji barua za uthibitisho wa ajira kwa wafanyikazi wa mpango wa afya kwa wote-UHC huku mgomo wa wauguzi ukiingia wiki yake ya pili. Muungano huo umesema serikali ya kitaifa imetekeleza wajibu wake, lakini serikali za kaunti bado hazijatimiza ahadi zao. Aidha muungano huo umedumisha kwamba wahudumu wa afya hawatarejea kazini hadi wauguzi wanagenzi watakapopata ajira ya kudumu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive