5 views
1 month ago General
USTAWI WA JAMII
Chuo anuwai cha Nairobi kinapania kushirikiana na shirika la wanawake la Joyful kutoa mafunzo kwa kina mama wajasiriamali kuhusu masuala ya kifedha. Mpango huo chini ya uongozi wa Mama wa Taifa,Rachael Ruto, utawafaidi wanawake zaidi ya 50 kutoka mitaa ya Mathare na Dandora jijini Nairobi ambao wanaendelea na mafunzo ya wiki mbili katika chuo hicho. Msimamizi wa chuo hicho Dkt. Glory Mutungi amesema wafanyabiashara hao watapokea vyeti vya utambuzi ambavyo wanaweza kutumia kutafuta ajira.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive