18 views
1 month ago General
Ziwa Victoria ndilo la pili kubwa zaidi la maji safi duniani likizalisha baina ya tani milioni moja na milioni- 1.5 za samaki kwa mwaka. Idadi hii ni asilimia ndogo sana ya uwezo kamili kutokana na tishio la uchafuzi, kuvua samaki kupita kiasi na shughuli nyingine za kibinadamu. Hata hivyo licha ya vitisho hivyo jamii za wavuvi katika kaunti ya Kisumu zinanuia kubadili halihiyo kupitia matumizi ya teknolojia ya akili-unde katika ufugaji samaki kwenye visanduku kama mbinu ya kiubunifu ya ufugaji samaki.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive