28 views
1 month ago General
Rais William Ruto ametetea ruwaza inayopendekezwa na serikali ya mwaka 2060 akisema kuwa mpango huo wa kudumu wa maendeleo utajumuishwa kwenye katiba na kulindwa dhidi ya maslahi ya muda mfupi ya kisiasa. Akizungumza wakati wa ibada ya kanisani katika kaunti ya Uasin Gishu Ruto alisema kuwa mpango huo wa maendeleo ya kitaifa unaopendekezwa hautawekewa misingi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 ila badala yake utatoa mfumo unaowekewa misingi katika mfumo wa kisheria ili kuongoza mabadiliko ya kiuchumi na kijamii kwa miongo mingi humu nchini.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive