40 views
1 month ago General
Naibu Rais Kithure Kindiki amevihimiza vyama vya kisiasa vinavyoiunga mkono serikali ya Kenya Kwanza kuelekeza juhudi zao kwa kuchaguliwa tena kwa Rais William Ruto kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.Akiongea katika kaunti ya Samburu,Kindiki alivihimiza vyama vyote vya kisiasa vinavyoiunga mkono serikali kushirikiana ili kumwezesha Rais Ruto kushinda tena uchaguzi huo akisema mjadala wa ni chama kipi au wanasiasa watakaochukua nyadhifa kuu serikalini itaweza kuja tu baada ya Ruto kushinda uchaguzi huo.Na jinsi mwanahabari Abdiaziz hashim anavyotueleza Kindiki alishuhudia Viongozi kadhaa kutoka eneo hilo wakihama kutoka chama cha Jubilee hadi chama tawala.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive