9 views
1 month ago General
Siasa za kumpigia debe Rais William Ruto kuongoza taifa hili kwenye hawamu ya pili zilishamiri huku baadhi ya wandani wa rais wakidokeza kwamba rekodi ya maendeleo ya kiongozi huyo ni dhibitisho tosha kwamba atapewa nafasi nyingine na wakenya kuongoza taifa hili mwaka ujao. Haya yanajiri huku baadhi ya viongozi wa chama UDA wakiwarai wenzao kutoka chama cha ODM kutuliza boli kuhusu wadhifa wa naibu rais na kuangazia kutafuta kura zitakazomrejesha Rais William Ruto kwenye ikulu. Timothy Kipnusu anaarifu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive