414 views
1 month ago General
Rais William Ruto ametoa wito wa kuwepo maono ya maendeleo ya kitaifa ya muda mrefu ambayo yanakiuka tawala za kisiasa na mizunguko ya uchaguzi, akisema mustakabali wa Kenya unapaswa kuundwa kwa kuzingatia mipango ya makusudi badala ya maslahi ya kisiasa ya muda mfupi. Akizungumza siku ya Alhamisi katika hotuba maalum kutoka Ikulu ya Nairobi, kiongozi wa taifa alikiri kwamba Kenya huenda isiafikie moja ya malengo muhimu ya ruwaza ya mwaka wa 2030, akisema taifa hili bado liko mbali kuafikia hali ya kipato cha juu cha kadri kama inavyotarajiwa chini ya mpango wa sasa wa maendeleo ya kitaifa. Huyu hapa mwandishi wetu Abdiaziz Hashim na maelezo zaidi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive