6 views
1 month ago General
Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli amewapa changamoto makurutu wa polisi ambao kwa sasa wanaendelea na mafunzo katika chuo cha polisi cha kitaifa huko Embakasi kuzingatia nidhamu ya hali ya juu na pia kutumia vipaji vyao ipasavyo akisisitiza kuwa uwezo wa asili unaweza kuimarisha utenda kazi wao katika maeneo mengi. Akiongea wakati wa sherehe ya kufunga siku ya michezo ya makurutu wa polisi wa kitengo cha utawala, Masengeli alisisitiza kwamba nidhamu inasalia kuwa muhimu kwa mafanikio ya maafisa wanaotaka kuiwakilisha nchi katika shughuli za michezo ndani na nje ya nchi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive