6 views
1 month ago General
AKILI MAMBOLEO
Watengenezaji wa simu za kisasa zilizoboreshwa wanadhamiria kutumia akili unde ili kunufaika na soko la kenya la shillingi billioni 110 la elimu ya sekta ya mitandaoni inayoungwa mkono na mtaala wa elimu wa umiisi unaozingatia elimu ya wanafunzi.Mtayarishaji wa program ya tarakilishi Ketul Mehta anasema kupitia matumizi ya madarasa ya dijitali shuleni, katika vyuo vikuu na vyuo vya kiufundi kote nchini kutaharakisha ukumbatiaji wa elimu kwa wanafunzi kupitia teknolojia na kuwatayarisha kwa sera ya aajira za akili unde.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive