5 views
1 month ago General
Viongoziwa kike wametoa wito wa kila mmoja kujumuishwa kwenye vita dhidi ya ghasia za kijinsia,wakionya kwamba mara nyingi visa vingi vya ghasia hizo haviripotiwi,huku waathiriwa wakisalia kukabiliana na athari zake ikiwemo unyanyapa.Wakiongea wakati wa kongamano la Afrika la wanawake waliobobea hapa Nairobi, mshauri wa rais kuhusu haki za wanawake Harriet Chigai alitoa wito kwa wanawake kuwania nyadhifa za uongozi huku akiwahimiza wapiga kura kusaidia katika kuafikia kiwango cha uwakilishi wa kijinsia cha tuluthi mbili kuambatana na katiba.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive