15 views
1 month ago General
Mfalme Letsie wa tatu wa Lesotho, ambaye ni balozi wa Shirikisho la Kimataifa la Vyama vya Msalaba Mwekundu ameahidi kuendelea kutetea na kuimarisha ushirikiano ambao unaweza kusaidia bara la Africa kuimarisha maisha, kuboresha uwepo wa chakula na kujenga ustahimilivu dhidi ya mishtuko inayohusiana na hali ya hewa. Akizungumza katika Kaunti ya Taita Taveta wakati wa ziara ya nyanjani, Mfalme huyo alisema ataendelea kutetea sera na mikakati inayoweza kusaidia bara la Afrika kujenga idadi ya watu wenye afya na wanaotoshelezwa na chakula.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive