48 views
1 month ago General
Nchi wanachama wa mahakama ya kimataifa ya jinai (ICC) zimepiga kura kumwondoa Karim Khan kwenye wadhifa wa kiongozi mkuu wa mashtaka kuhusiana na madai ya dhuluma za kimapenzi. Khan aliyechaguliwa kuwa kiongozi wa tatu wa mashtaka wa ICC mwaka 2021 alisimamishwa kazi mwezi Juni mwaka huu. Uamuzi huo wa kumwondoa afisini ulipitishwa kwa kura 82 zilizouunga mkono. Kufuatia uamuzi huo manaibu viongozi wa mashtaka Nazhat Shameen Khan na Mame Mandiaye Niang watatekeleza wajibu wa uongozi, usimamizi na utawala wa afisi hiyo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive