6 views
1 month ago General
Spika wa bunge la taifa Moses Wetang'ula amewahimiza viongozi wa humu nchini wapinge siasa za kikabila na kukubali umoja wa kitaifa akionya kuwa matamshi yanayoweza kuzua migawanyiko huenda yakasababisha migawanyiko ya kikabila. akizungumza mjini Kilgoris, kaunti ya Narok, Wetang'ula alisema kuwa ushindani wa kisiasa haufai kuzua chuki, ghasia au uhasama wa kikabila. Wakati huo huo waziri wa usalama wa taifa na utawala wa kitaifa Kipchumba Murkomen alitangaza kwamba serikali haitalegea katika kuwasaka wahuni wanaovuruga mikutano ya kisiasa na wamekamata yamkini watu 100 kuhusiana na matukio tofauti humu nchini.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive