49 views
1 month ago General
WITO WA MSAADA WA MATIBABU
Msaada unaweza kutumwa kwa 0729465269 Karen Aoko
Mjane mmoja katika eneo la Eldoret, anaomba msaada wa kimatibabu baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani iliyomsababishia kupoteza mguu mmoja. Mjane huyo ambaye alikuwa fundi wa cherehani sasa hawezi kumudu mahitaji ya wanawe watatu. Na kutonesha kidonda zaidi, watoto wake wawili wanaugua ugonjwa wa seli mundu, ugonjwa unaohitaji matibabu ya mara kwa mara, ambayo ameshindwa kumudu. Sasa anawaomba wahisani kumsaidia kumudu matibabu ya wanawe na pia kumsaidia kibiashara ili aweze kutimiza mahitaji ya familia yake.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive