33 views
1 month ago General
Chama cha Wanarastafari nchini kilipoteza ombi la kuhalalisha matumizi ya bangi kwa ajili ya shughuli za ibada zao, baada ya mahakama kuu kutoa uamuzi kwamba walishindwa kuthibitisha kwamba sheria za taifa hili kuhusiana na matumizi ya dawa za kulevya zinakiuka haki zao za kikatiba. Jaji Bahati Mwamuye alitetea sheria ya nchi hii inayoharamisha umiliki na matumizi ya bangi. Na kama Ruth Wamboi anavyotusimulia, jaji Mwamuye ameitaka serikali kukubali kwamba matumizi ya bangi hayaathiri jamii ya Wanarastafari pekee.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive