37 views
2 months ago General
Rais William Ruto amekosoa vikali upinzani, akishutumu uongozi wake kwa kutokuwa na ajenda kamili ya maendeleo kwa taifa hili. Akizungumza katika kaunti ya Meru, rais alisema kuwa shutma za kisiasa kutoka kwa wapinzani wake zinalenga kuvuruga utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya utawala wa Kenya Kwanza. Ruto aliwataka wakazi wa eneo hilo kumuunga mkono katika azma yake ya kuwania hatamu ya pili ya uchaguzi mwaka 2027, huku viongozi wa eneo hilo wakiahidi kuhamasisha wapigaji kura kumuunga mkono rais.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive