6 views
2 months ago General
MAENDELEO MAGATUZINI
Afisi ya mdhibiti wa bajeti imefadhaishwa na ongezeko la kiasi cha fedha zinazotumika kugharamia shughuli za serikali za kaunti katika magatuzi ikionya kuwa hatua hiyo inahujumu miradi ya maendeleo na kuzidisha tatizo la madeni ambayo hayajalipwa. Akiongea wakati wa kikao kilichoandaliwa na chama cha wahasibu humu nchini, naibu mkurugenzi wa utafiti na mipango kwenye afisi hiyo, Cyrus Ondari alisema serikali za kaunti hazina budi kukaza kamba kudhibiti matumizi ya fedha na kuzielekeza kwenye uwekezaji ufaao.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive