20 views
3 months ago General
Chama cha Jubilee kimemtetea Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kutokana na uhusiano wowote na maandamano ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta kote nchini. Chama hicho kimeshutumu matamshi ya katibu mkuu wa Chama UDA Hassan Omar, ambayo yalionekana kuashiria Uhuru alishiriki katika kupanga maandamano hayo,na kuyataja kuwa ya kusikitisha. Chama hicho kina maswali kuhusu ni kwa nini Uhuru anaendelea kutajwa katika mijadala ya kisiasa licha ya kuondoka madarakani kwa amani baada ya kumaliza mihula yake miwili ofisini.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive