46 views
2 months ago General
Wakili Ndegwa Njiru amesema atashtaki huduma ya polisi kwa kukandamiza haki zake baada ya maafisa wa polisi kumkamata,kulikokota gari lake na kumzuia korokoroni na hatimae kumuachiliwa bila kumfungulia mashtaka yoyote.Akisimulia masaibu yaliomkumba,Njiru alisema alizuiliwa na polisi jana alipokuwa akielekea Kajiado.Kizaazaa kilishuhudiwa hii leo alipowasilishwa mahakamani na afisa mmoja mkuu wa polisi akaiambia mahakama kwamba hakuna mashtaka yoyote yatakayowasilishwa dhidi wakili Njiru,hatua iliyolazimu mahakama kumuachiliwa huru.Hayo na mengine yanajiri kwenye mseto wetu wa taarifa za mahakama.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive