9 views
2 months ago General
Familia moja katika kijiji cha Angorom eneo bunge la Teso Kusini kaunti ya Busia inaomba msaada wa kifedha ili kusaidia binti yake kufanyiwa upandikizaji wa ini nchini India. Ashley Otichiro mwenye umri wa miaka 17 ambaye ni mwanafunzi wa gredi ya 10 katika shule ya kitaifa ya wasichana ya Lwanya katika eneo bunge la Matayos amekuwa na tatizo la ini kwa miaka 9 ambalo lilimlazimu kuacha masomo. Familia hiyo inahitaji shilingi milioni 5 ili binti wao afanyiwe upasuaji. Unaweza kuwasilisha mchango kupitia: 0726679978
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive