41 views
3 months ago General
Viongozi wa kisiasa wanaoegemea muungano wa upinzani wamewashtumu baadhi ya viongozi wanaounga mkono serikali wakiwemo maafisa wakuu wa serikali kwa madai ya kuhusika katika shughuli za uhuni katika maeneo yanayotambulika kama ngome za upinzani. Viongozi wa vyama vya DCP, Wiper na Jubilee wanataka maafisa wa serikali kutoegemea upande wowote wa kisiasa na kuwatumikia Wakenya wote kwa usawa. Haya yanajiri wakati aliyekuwa waziri Moses Kuria akikanusha madai ya kufadhili vurugu katika eneo la Mlima Kenya.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive