9 views
2 months ago General
KAPU LA BIASHARA
Kampuni ya Acorn Holdings imeshirikiana na benki ya Absa humu nchini na ile ya ushirika humu nchini kuanzisha mpango kwa wanafunzi waliofuzu kutoka vyuo vikuu unaounganisha ufadhili wa makazi ya wanafunzi na mtaji wa kuanzisha biashara kwa wafanyabiashara chipukizi. Mkurugenzi wa huduma za kifedha za vijana katika benki ya ushirika humu nchini , Joel Kaba alisema kuwa mpango huo wa kibiashara kwa wanafunzi waliofuzu kutoka vyuo vikuu wa Zinduka utatoa mikopo isiyotozwa riba kwa makazi wa wanafunzi pamoja na ufadhili wa kibiashara wa baina ya shilingi laki-2 na nusu milioni kwa wale wanaostahiki huku kukiwa na mipango ya kufadhili biashara elfu-10 kwa mwaka. Kwa hizi na habari nyingine huu hapa ni mkusanyiko wa taarifa zetu za biashara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive