44 views
3 months ago General
Katibu wa afya ya umma Mary Muthoni ameonya dhidi ya kuingiza siasa mikakati ya kuzuia ueneaji wa maradhi ya Ebola, akihimiza wananchi kuwaepuka watu wanaopinga mipango ya uzinduzi wa vituo vya kuwatetenga wagonjwa wa Ebola humu nchini. Katibu Muthoni amesema taifa hili lazima lijiandae kikamilifu iwapo maradhi hayo yatazuka hapa nchini. Haya yanajiri huku akitangaza kuwa serikali imeimarisha juhudi za ufuatilianaji na uangalizi kwenye viingilio vya mpakani huku mikutano ya uhamasishaji ya kila wiki ikiandaliwa kwa madereva wa malori katika vituo vya mpakani.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive