54 views
3 months ago General
Wizara ya elimu inawataka walimu wakuu kubuni mifumo ya majadiliano na wanafunzi ili kukomesha hali tete na uteketezaji wa majengo ya shule. Katibu katika idara ya elimu ya msingiProfesa Julius Bitok amesema serikali itawatuma maafisa-400 wa ziada wa kutathmini viwango vya ubora ambao watakagua uzingatiaji wa kanuni zilizowekwa kwenye shule za malazi katika kipindi cha siku-10 zijazo. Bitok aliyasema hayo jijini Nairobi wakati wa hafla ya kuwazawadi wanafunzi waliotia fora katika shule ya upili ya wasichana ya Kenya High.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive