22 views
3 months ago General
Wakenya milioni 2.3 wamefaulu kujaza fomu za kumbukumbu za malipo ya ushuru huku halmashauri ya KRA ikiwalenga watu milioni 5.7. Halmashauri ya KRA imesema idadi hiyo imeongezeka ikilinganishwa na kipindi sawiamwaka uliopita. Halmashauri hiyo aidha inasema kuwa katika miaka ya hapo awali, idadi kubwa ya wakenya ilishindwa kujaza fomu za kumbukumbu za malipo ya ushuru na inawarai wananchi kuhakikisha wamefanya hivyo kupitia mwito wa kampeni ya uhamasisho iliyopewa jina Jijue Jibetter ambayo inahusisha mpango wa kibinafsi na rahisi wa kujaza fomu hizo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive