797 views
3 months ago General
Rais William Ruto ametetea makubaliano kati ya Kenya na Marekani ya kujenga kituo cha karantini kitakachoshughulikia wagonjwa wa Ebola katika kambi ya jeshi la wanaanga ya Laikipia. Rais alisema alikubali ombi la Rais Donald Trump kwa sababu serikali ya Marekani imekuwa ikisaidia Kenya kukabiliana na changamoto za afya ya umma zikiwemo ugonjwa wa UKIMWI na janga la COVID-19. Aidha, aliwakosoa wanaopinga mpango huo, akisema kuwa kituo hicho kimeanzishwa kwa lengo la kulinda afya na usalama wa raia wa Marekani na wa Kenya.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive