60 views
3 months ago General
Kwa mara ya pili, katika kipindi cha mwezi mmoja , gavana wa kaunti ya Siaya James Orengo ameshambuliwa huko Nyanza. Katika tukio la hivi majuzi lililotokea siku ya ijumaa , Orengo alivamiwa alipozuru eneo la Homabay. Na kwa kile kinachoonekana kuwa juhudi za kumtenga kwa kujihusisha na mrengo wa Linda Mwananchi wa chama cha ODM, unaopinga ule wa kinara wa chama hicho Oburu Oginga wa Linda Ground, Waziri wa Nishati Opiyo Wandayi naye ameibua shutuma dhidi ya gavana huyo , hali ambayo inaweza kuathiri kuchaguliwa kwake tena. Na jinsi mwanahabari wetu Wycliffe Oketch anavyotujuza , haya yanajiri siku moja tu kabla ya mkutano wa chama cha ODM utakaoandaliwa mjini Kisumu unaolenga kuimarisha udhibiti wake katika eneo hilo kabla ya uchaguzi mkuu ujao.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive