7 views
3 months ago General
Familia ya aliyekuwa mwenyekiti wa bodi ya shirika la utangazaji humu nchini KBC, David Were, inadai haki ya mwana wao aliyeuawa na watu wasiojulikana mjini Kisumu jana jioni. Kulingana na familia hiyo, Hannington Were mwenye umri wa miaka 39 alishambuliwa akiwa pamoja na rafiki yake usiku wa kuamkia leo mtaani Tom Mboya walipotoka kwenda kununua chakula. Hii ni mara ya pili kwa familia hiyo ya aliyekuwa mbunge wa eneo la Matungu kukumbwa na msiba katika muda wa miezi minne, baada ya mwanawe mwingine kushambuliwa na kuuawa mjini Nairobi mapema mwaka huu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive