5 views
3 months ago General
Balozi wa Kenya nchini China Willy Bett aliongoza nchi za kiafrika katika kutoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo vya kibiashara vinavyoendelea kuzuia upatikanaji wa manufaa kamili ya ya sera ya China ya kuondoa ada kwa bidhaa kutoka kiafrika. Akizungumza wakati wa mashauriano ya ngazi za juu kuhusu ushirikiano wa kiuchumi baina ya China na bara Afrika jijini Beijing, balozi Bett alisema kuwa licha ya upatikanaji wa soko kubwa vikwazo visivyohusisha ada, kucheleweshwa forodhani na changamoto za kimipango zimeendelea kutatiza kuwasilishwa kwa bidhaa za kiafrika katika soko la kichina.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive