7 views
3 months ago General
Hospitali zitahitajika kuweka nembo kwenye vifaa vyao vya kupima huku shirika la ukadiriaji ubora wa bidhaa linapoanzisha oparesheni ya kuthibitisha ubora wa vifaa vya matibabu.Mkurugenzi mkuu wa shirika la kukadiria ubora wa bidhaa nchini Esther Ngari anasema ongezeko la visa vya matokeo yasiyo ya kweli ya uchunguzi wa kimatibabu linachangiwa na vifaa vilivyo na hitilafu,hivyo basi ipo haja ya kuweka nembo za kudhibitisha ubora wa vifaa hivyo.Kwa habari hizi na zingine hapa ni mkusanyiko wa habari za biashara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive