7 views
3 months ago General
Shirika la utangazaji humu nchini KBC ni miongoni mwa taasisi zilizotambuliwa kwa kuunda mustakabali wa uandishi wa habari wakati wa Tuzo za Mwaka za Ubora wa Vyombo vya Habari zilizofanyika jijini Nairobi.Hafla hiyo ilishuhudia wadau wakithamini jukumu la uandishi wa habari katika kukuza uandishi wa habari wenye maadili, utofauti na taarifa za kuaminika. Waziri wa utalii na wanyamapori Rebecca Miano, ambaye alikuwa mgeni mashuhuri aliwapongeza wanahabari kwa kudumisha taaluma na kuhakikisha wakenya wanapata taarifa zilizothibitishwa na zenye uadilifu licha ya changamoto zinazokabili tasnia hiyo. Mwanahabari wetu Aaron Marie,alihudhuria hafla hiyo na kutuandalia taarifa ifuatayo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive