10 views
5 days ago
Katika Makala ya juma hili,
DR Congo yapokea shehena ya kwanza ya dozi za chanjo dhidi ya ugonjwa wa Ebola huku chamko hilo likisababisha vifo vya zaidi ya watu 2,500.
Iran yasema haitaruhusu vita vikomeshwe kuambatana na masharti ya pande chokozi huku marekani ikitishia vikwazo vya kiuchumi dhidiya Iran.
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa atoa wito wa kukomeshwa kwa mizozo na uhaba wa chakula.
Kongamano kuhusu roboti duniani laangazia maendeleo katika uundaji roboti huku roboti ikipita rekodi ya binadamu kwenye mbio za mita 400 jijini Beijing, China.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News