7 views
5 days ago
Mwanafunzi wa darasa la tano mwenye umri wa miaka 11 katika Shule ya Msingi ya Kimirori katika eneo bunge la Maragua, Kaunti ya Murang’a, amelazimika kuacha kuhudhuria masomo shuleni baada ya kuugua ugonjwa usio wa kawaida ambao umeathiri uwezo wake wa kutembea, kuzungumza na kutekeleza majukumu ya kimsingi. Franklin Ndung'u Kamau aligunduliwa na ugonjwa wa adrenoleukodystrophy ambao ni ugonjwa adimu wa kijenetiki unaoharibu kinga ya myelin inayozunguka neva kwenye ubongo na uti wa mgongo. Bili ya hospitali ya shilingi milioni 5 inahitajika kunusuru maisha ya Franklin kiasi ambacho mama yake anatumai wahisani wanaweza kumsaidia kuchanga.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive