2 views
1 week ago
Kampeni ya uokaji keki, Valentine Cake House inapania kupanua shughuli zake kutoka kaunti saba hadi ishirini na tano ikilenga kuwafikia wateja zaidi na kukuza biashara. Afisa Mkuu Mtendaji wa kampuni hiyo Mathew Gathua, anasema miongoni mwa mipango ya upanuzi ni kubuni bidhaa mpya, zikiwemo uokaji keki zinazozingatia afya pamoja na vitafunio vya kuwasaidia kina mama wanaonyonyesha, ili kupanua wigo wake. Gathua alisema haya wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka ishirini na tano tangu kuanzishwa kwa kampuni ya Valentine Cake House.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive