7 views
1 week ago Politics
Wadau wa seta ya ujenzi wanapigia upatu matumizi ya vifaa vinayoafiki viwango vya uhifadhi mazingira ili kukabili tatizo la uharibifu wa mazingira. Wadau hao wanasema sekta hiyo ni mojawapo ya zile zinazochafua hewa kwa kiasi kikubwa na hivyo kuathiri juhudi za serikali za kupunguza gesi ya kaboni. Waziri wa ardhi Alice Wahome anasema serikali itatekeleza kanuni zifaazo za ujenzi ili kukabiliana na changamoto hizo. Taarifa hii ni miongoni mwa zile tulizokuandalia kwenye makala yetu ya Kapu la Biashara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive