4 views
1 week ago General
Serikali imeshirikiana na wahudumu wa sekta ya uchukuzi wa Tuk-Tuk kuzindua kampeni ya amani inayonuiwa kuhakikisha hawatumiwi vibaya na wanasias kuibua ghasia na kuhakikisha wanahudumu hao ni mabalozi wa amani huku taifa hili likijiandaa kwa uchaguzi mkuu. Waziri wa kawi Opiyo Wandayi, katika mkutano na wajumbe kutoka kaunti-47 wanaohudumu chini ya chama cha wahudumu wa sekta ya uchukuzi wa Tuk-Tuk walikutana jijini Nairobi, ambapo aliahidi kushirikiana na wahudumu hao pamoja na wizara ya usalama wa taifa ili kuwawezesha kuendesha baishara zao bila matatizo na kuhubiri amani.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive