42 views
1 month ago General
Viongozi wa pwani wanaohudumu katika serikali jumuishi watoa wito kwa wakazi wa sehemu hiyo kujiandikisha kwa wingi kama wapiga kura ili kuongeza idadi ya wapiga kura hadi kufikia milioni nne. Wakiongozwa na spika wa bunge la seneti Amason Kingi pamoja na mawaziri Ali Hassan Joho na Salim Mvurya, Viongozi hao walisema eneo la pwani linahitaji kuwa na ushawishi mkubwa wakati wa muhula wa pili wa uongozi wa rais Ruto. Wakati huo huo, baadhi ya wazee wa jamii ya Mijikenda wamempendekeza aliyekuwa waziri Aisha Jumwa kuwania wadhifa wa ugavana katika kaunti ya Kilifi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive